Qurani Sura Al-Baqarah Aya ya 91 – Na wanapo ambiwa: “Aminini aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu,” husema: “Tunaamini yaliyoteremshwa kwetu. Na wanayakataa yaliyo kuja baada yake, na hali ni Haki inayosadikisha yaliyo pamoja nao. Sema: Basi kwa nini mliwauwa Manabii wa Mwenyezi Mungu kabla, ikiwa nyinyi ni Waumini?






