Qurani Surah Al-Baqarah Aya ya 67 – Na pale Musa alipo waambia watu wake: Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni kuchinja ng’ombe. Wakasema: Je! unatufanyia mzaha? Akasema: Najikinga kwa Mwenyezi Mungu nisiwe miongoni mwa wajinga.