Sura Al-Baqarah Aya ya 112 – Ndio [kinyume chake], mwenye kuusalimisha uso wake kwa Mwenyezi Mungu kwa Uislamu na hali ni mtenda wema, basi ana ujira wake kwa Mola wake Mlezi. Wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.
Nenda kwenye Surah Al-Baqarah






